Semina Ya Kufunga Mwaka 2024, Na Kuangazia Maboresho Ya Huduma Bora Kwa Wateja Kwa Mwaka Ujao 2025.
MKURUGENZI MKUU wa kampuni ya mabasi yaendayo haraka UDART Ndg. Waziri Kindamba aliitisha semina ya Maboresho kwa wateja katika utoaji […]
